Muller astaafu rasmi kucheza soka
Sisti Herman
July 6, 2025
Share :
Baada ya timu yake ya Bayern Munich kupoteza mchezo wao wa robo fainali ya kombe la dunia la klabu dhidi ya PSG, rasmi sasa mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani na Bayern Munich , Thomas Muller amestaafu kucheza soka.
Akiwa mchezaji hizi ni takwimu zake;
👕7⃣5⃣6⃣ Mechi.
⚽2⃣5⃣0⃣ Magoli.
🅰️2⃣7⃣6⃣ Asisti.
🏆🇩🇪3⃣3⃣ Mataji
Muller alitangaza kuwa huu utakuwa msimu wake wa mwisho kutumikia soka kama mchezaji wakati msimu ukielekea mwishoni na mwishoni mwa msimu alicheza mechi yake ya mwisho Allianz Arena na kuagwa kwa heshima kabla kumaliza Club World Cup.