pmbet

Mume wa Zari apoteza vitu vya thamani katika tukio la wizi

Eric Buyanza

January 13, 2024
Share :

Mume wa Zari, Shakib Lutaaya apoteza vitu vya thamani katika tukio jingine la wizi jijini Kampala, ikiwa ni takriban wiki mbili baada ya nyumba ya Zari kuibiwa na majambazi wenye silaha.
 

Shakib alivamiwa akiwa katika duka kubwa ambapo mwizi huyo alimpokonya begi alilokuwa nalo na kukimbia.
 

Kwa mujibu wa mume huyo wa Zari, simu mbili, cheni za bei mbaya na pesa taslimu ni miongoni mwa vitu vilivyokuwa kwenye begi lililoporwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet