pmbet

Muonekano wa Aaron Pierre na Teyana Tylor wazua gumzo.

Joyce Shedrack

September 17, 2025
Share :

Baada ya kuweka wazi uhusiano wao wa Kimapenzi Machi mwaka huu Mwanamitindo Aaaron Pierre ameendelea kuonekana kwenye matukio ya Mwanadada Teyana Tylor akionyesha sapoti kwa mpenzi wake huyo.
Teyana Taylor & Aaron Pierre SHUT DOWN London Red Carpet… Hottest Couple  Out! - YouTube
Septemba 16 walihudhuria kwa pamoja tukio London ambapo Tenaya Tylor alikuwa akitambulisha Movie yake ya 'One Battle After Another' itakayotoka Septemba 26 2025, Kupitia tukio hilo walionekana kwenye muonekano wa aina yake uliowavutia wengi.

Mashabiki wa Aaron Pierre wamekuwa wakimsema kwa maneno mabaya baada ya Kuonekana kuwa Mpenzi wake huyo amemzidi umri kwa miaka mitatu pamoja na kuwa na watoto wawili huku Aaron yeye akiwa na miaka 31 bila ya mtoto huku yeye ameendelea kuonyesha ukomavu wa penzi lake akimsifia kuwa ni wanamke wakiutofauti kuwahi kuwa nae kwenye mahusiano na kuweka wazi kutokuchoka kusapoti harakati zake za Kikazi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet