Muonekano wa The Rock wazua gumzo kisa kupungua uzito.
Joyce Shedrack
September 2, 2025
Share :
Mwanamieleka na Muigizaji Dwayne Johnson maarufu kama the “The Rock” amewashangaza mashabiki zake kwa namna alivyoupunguza mwili wake kwa 28Kg akikaribia 60kg hivi sasa kuelekea kuachiwa kwa filamu yake mpya ya 'The Smashing Machine' inayotarajiwa kutoka October 3, 2025.
Mashabiki baadhi hawaamini ndani ya muda mfupi wa miezi 6-7 The Rock ameweza kupunguza uzito kwa haraka na wengine mitandaoni wanahusisha hadi technolojia na kudai ni AI huku baadhi wakisema kuwa muonekano huo umemfanya aonekane timamu na mwenye afya nzuri.