pmbet

MVP wa Ivory Coast kumrithi Chama msimbazi.

Joyce Shedrack

July 1, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Stella Club d'Adjamé , Jean Charles Ahoua (22) ambaye ni Mchezaji Bora (MVP) wa Ligi Kuu Nchini Ivory Coast huwenda akatua Tanzania wiki hii kumalizana na wekundu wa msimbazi Simba sc .

Kiungo huyo aliyekuwa kwenye mawindo na Esperance De Tunis tayari ameshakubaliana kila kitu na klabu ya Simba kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao.

Msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Ivory Coast amehusika kwenye jumla ya magoli 21 akifunga magoli 12 na kutoa assists 9️.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet