Mwaka huu Jay Moe anaongoza kwa kunilipa pesa nyingi
Eric Buyanza
May 18, 2024
Share :
Director maarufu wa video za muziki, @travellah amesema kwa mwaka jana msanii @_kusah_ ndiye msanii aliyeongoza kwa kumlipa pesa nyingi Zaidi, lakini kwa mwaka huu 2024 msanii @jaymoefamous amempiku @_kusah_ kwa kuwa ndiye msanii aliyeongoza kwa kumlipa hela nyingi.