pmbet

Mwambieni tajiri inatosha kiungo wa boli atua msimbazi.

Joyce Shedrack

July 8, 2024
Share :

Klabu ya Simba imemtangaza kiungo Yusuf Kagoma kuwa mchezaji wao mpya baada ya kufanikiwa kukamilisha uhamisho wake kutoka Singida Fountain Gate FC.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28 alishawahi kuzitumikia klabu tatu tofauti kwenye ligi Kuu soka Tanzania bara kama Gwambina Fc, Geita Gold na Singida Fountain Gate FC ataungana na kiungo Mzamiru Yassin kuunda safu ya viungo wazawa ndani ya klabu ya simba.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet