pmbet

Mwamnyeto aongezewa miaka miwili Yanga

Sisti Herman

July 3, 2024
Share :

Uongozi wa klabu ya Yanga umemuongeza mkataba wa miaka miwili nahodha wa klabu hiyo na beki wa kimtaifa wa Tanzania Bakari Nondo Mwamnyeto kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Mwamnyeto mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Yanga mwaka 2020 akitokea Coastal Union ataendelea kusalia kwenye viunga vya Twiga na Jangwani hadi mwaka 2026.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet