pmbet

Mwamuzi kinda wa Tanzania ateuliwa CAF kuchezesha

Sisti Herman

May 21, 2024
Share :

Mwamuzi kinda kimataifa wa Tanzania, Habibu Hamadi mzaliwa wa 2005 ameteuliwa na shirikisho la soka Afrik CAF kwenye orodha ya waamuzi 21 kutoka mataifa mbalimbali kuchezesha fainali za African Schools Football Championship 2024 zinazochezwa New Amaan Complex, Zanzibar.

 

Akiwa na umri mdogo zaidi Habibu tayari ameshatwaa tuzo ya kuwa mwamuzi bora ya michuano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kama;

 

  • - Michuano ya kombe la Afrika Mashariki 2016
    - Mwamuzi bora wa michuano ya ligi ya vijana chini ya miaka 17 Tanzania 2023
    - Michuano ya CECAFA u17 2023
    - Michuano ya CECAFA u15 2023
    - Michuano ya CECAFA u15 2024

 

Habibu ni mwamuzi pekee kutoka Tanzania kwenye michuano ya African Schools Football Championship 2024

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet