pmbet

Mwamuzi wa Morocco pilato mechi ya derby Jumapili Mei 03.

Joyce Shedrack

April 27, 2026
Share :

Mwamuzi Hamza El Faruq ambaye ni raia wa Morocco anatarajiwa kusimama kati katika pambano la mechi ya Simba SC na Yanga SC litakalochezwa Jumapili.

May be an image of football, soccer and text

Mchezo huo utakaochezwa katika Uwanja wa Meja Isamuhyo, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam utasimamiwa na Waamuzi kutoka nchini humo na Shirikisho la soka nchini Morocco limetangaza kupokea maombi kutoka Shirikisho la soka la Tanzania (TFF).

 

Waamuzi ambao wameteuliwa na shirikisho la soka nchini Morocco kuja kuchezesha mechi hiyo ni Hamza (Refa wa Kati), Lahsene Azkawi (Msaidizi 01), Hamza El Nasri (Msaidizi 02) na Mostafa Kchaaf atakuwa Fourth Official.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet