pmbet

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu ajinyonga baada ya kuachwa na Demu

Eric Buyanza

March 26, 2024
Share :

Mwanafunzi wa kiume wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kisii nchini Kenya amejitoa uhai kwa kujinyonga akiwa ndani ya chumba alichokuwa amepanga.
 

Inaelezwa kuwa mwanafunzi huyo wa Kitivo cha Sayansi ya Wanyama mwenye umri wa miaka 23 kabla ya kujinyonga alimtumia rafiki yake ujumbe mfupi wa maneno (SMS) akimjulisha kuwa ameamua kujiua kwa sababu mpenzi wake hamtaki tena (amemuacha).
 

Kabla ya kujitoa uhai ikaelezwa na majirani kuwa Jumatatu jioni, walimwona marehemu akivunja laptop yake vipande vipande.

#TaifaLeo
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet