pmbet

Mwanafunzi wa miaka 15 amponza Rashid, apelekwa jela maisha!

Eric Buyanza

February 5, 2024
Share :

Mahakama ya Wilaya ya Temeke Dar es Salaam, imemuhukumu Racha Rashid (49) mkazi wa Tandika Mwembeyanga Manispaa ya Temeke, kwenda Jela maisha kwa kosa la kubaka binti wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili.
 

Imeelezwa Mahakamani hapo kuwa Racha alimbaka binti huyo kwa nyakati tofauti huku akimrubuni kwa kumpa pesa.
 

Mhe.Madili ametoa hukumu hiyo ya kifungo cha Jela maisha baada ya kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa Mahakamani hapo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet