pmbet

Mwanza polisi wafanya doria kukabiliana na Maandamano.

Joyce Shedrack

September 23, 2024
Share :

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza septemba 22,2024, limefanya mazoezi ya utayari kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Mazoezi hayo yamefanyika kwa lengo la kujiweka tayari kukabiliana na viashiria na vitendo vya uvunjifu wa amani hususani maandamano haramu yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Akizungumza wakati wa maonyesho hayo ya utayari Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi Wilbrod Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kukomesha vitendo hivyo na kuimarisha doria maeneo yote ya Mkoa huo.


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet