pmbet

Mwenyekiti Simba ameenda kuhani kwa Rais Samia

Eric Buyanza

September 10, 2026
Share :

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ameungana na Watanzania wengine waliokwenda nyumbani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia  kifo cha Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia September 07, 2026.

 

Mangungu amekwenda Visiwani Zanzibar, Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji Rais Samia.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet