Mwigizaji Hollywood asiye na makazi
Sisti Herman
January 15, 2024
Share :
Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Jason Momoa amefunguka hali yake ya maisha kutokuwa na makazi maalum huku akidai kuwa hajali kabisa kukosa nyumba ya kuishi.
Muigizaji huyo ameeleza kuwa yeye huwa ana furahia hali hiyo na haoni sababu ya kukaa sehemu moja kutokana kazi yake ya Sanaa na hana mpango wakuwa na nyumba kwa sasa maisha yake yatakuwa ya kuzunguka kila maeneo ya ndani ya nchi na nje nchi.