Mwisho wa kelele zote Clement Mzize ni mali ya Yanga hadi 2027.
Joyce Shedrack
August 27, 2025
Share :
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Yanga Clement Mzize ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia Yanga hadi mwaka 2027.
Mzize ameongeza mwaka mmoja badala ya ule wa awali ambao ulikuwa unaisha 2026, mkataba wake wa sasa utaisha 2027 ukiwa umefanyiwa maboresho kadhaa.