Mzize kumrithi Dude Azam fc
Sisti Herman
April 17, 2024
Share :
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa klabu ya Azam inaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji wa kati wa Yanga kwaajili ya kurithi viatu vya mshambualiaji wao Prince Dube aliyeaga klabuni hapo.
Pia Azam inaweza kukaa mezani na Yanga kubadilishana wachezaji hao wawili (Swap Deal)