pmbet

Mzize na Kelvin John waachwa kikosi cha Stars AFCON

Sisti Herman

January 2, 2024
Share :

Kocha mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche raia wa Algeria, jana tarehe 1 Januari 2023 ametangaza majina ya wachezaji 31 wa timu ya Taifa inayojiandaa na michuano ya kombe la matifa ya Afrika (AFCON) huku akiacha mjadala mkubwa baada ya kuwaacha baadhi ya wachezaji vijana wanaofanya vizuri kama Ladack Chasambi na Clement na kuita wachezaji wanaocheza ligi za madaraja ya chini barani Ulaya.

 

Kocha huyo amethibutisha kuwa sababu za kutoitwa kwa mchezaji Kelvin John ni za kinidhamu na hatopenda kuziweka wazi, hiki hapa kikosi kilichoitwa;

 

1.Aishi Manula
2.Kawawa
3.Beno Kakolanya
4.Bakari Mwamnyeto
5.Mohammed Hussein
6.Sospeter Bajana
7.Simon Msuva
8.Feisal Salum
9.Danilo
10.Lusajo Mwaikenda
11.Kibu Denis
12.Samatta Mbwana
13.Novatus Dismas
14.Himid Mao
15.Abdul Sopu
16.Abdi Banda
17.Twariq Yusuf
18.Haji Mnoga
19.Charles Kachwele
20.Metacha Mnata
21.Ben Starkie
22.Mudathir Yahaya
23.Ibrahim Bacca
24.Dickson Job
25.Charles M’mombwa
26.Abdul Malik
27.Tarryn Allarakhia
28.Khelfin Hamdon
29.Mzamiru Yasini
30.Morice Abraham
pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet