pmbet

Mzungu akimbizwa usiku usiku!

Eric Buyanza

December 5, 2023
Share :

Uongozi wa timu ya Dodoma jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya jiji la Dodoma umetoa taarifa kwa uma ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Melis Medo ili apate muda wa kutosha wa kushughulikia changamoto za kifamilia zinazomkabili.
 

Kupitia taarifa hiyo kwa umma iliyochapishwa kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii, uongozi unamshukuru kocha huyo kwa mchango wake kwenye klabu hiyo na kumtakia kila la kheri katika changamoto zinazomkabili.

Pia uongozi huo umethibitisha kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa kocha huyo upo ukingoni kukamilika hivi punde.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet