pmbet

Najim Mussa..? Fundi wa dimba la kati, wapi panamfaa mido huyu

Sisti Herman

May 7, 2024
Share :

Licha kupoteza 2-0 jana dhidi ya Simba mashabiki wengi kwenye dimba la Azam Complex waliondoka na jina la kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Najim Mussa ambaye alicheza kwa kiwango kikubwa sana ikiwemo tukio lililoibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii la goli lake la wazi kukataliwa na mwamuzi wa mchezo huo.

Vyanzo mbalimbali vya habari vimeibua tetesi kuwa huenda 'mido' huyo akaibuka kwenye moja kati ya klabu kubwa kutokana na uwezo wake mkubwa kiufundi alioonyesha msimu huu akiwa na Tabora United ambayo ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja.

Je kwa ulivyomuona unadhani wapi panamfaa zaidi?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet