"Najua watanisumbua na mimi sitaki usumbufu kipindi hiki'
Eric Buyanza
April 13, 2024
Share :
JE, WAJUA
Mwaka 2019 jamaa mmoja huko nchini Jamaica alicheza bahati nasibu na kufanikiwa kujishindia mamilioni ya pesa, cha kushangaza alipokuja kuchukua zawadi yake..alikuja akiwa mevaa kinyago cha kutisha usoni kwa sababu hakutaka ndugu zake pamoja na marafiki wamtambue.
Alipohojiwa na waandishi Jamaa alisema hivii "najua watanisumbua na mimi sitaki usumbufu kipindi hiki'.