"Nalala mapema, nakunywa maji mengi, sifanyi maandishi 3" - TID
Eric Buyanza
March 28, 2024
Share :
Vituko kwa mwanamuziki TID huwa haviishi kila kuitwapo leo, safari hii anaelezea ubora wa kazi zake unatokana na yeye kulala mapema, kunywa maji mengi, na kutofanya maandishi 3!!
Fuatilia video hapo chini