pmbet

"Namfunika Jay Z kwa uandishi" - Ludacris

Sisti Herman

May 16, 2024
Share :

Msanii maarufu wa Hip-Hop kutoka Marekani Ludacris akiwa kwenye mahojiano maalum na Podcast maarufu ya ‘Funky Friday’ amedai kuwa anamzidi uwezo msanii Jay Z kwenye uandishi wa mistari ya nyimbo na endapo wangepewa masaa mawili ya kuandika basi yeye angeibuka kuwa mshindi.

Wasanii hao nguli waliwahi kushirikiana kwenye nyimbo ya ‘I Do It for Hip Hop’ uliyopo kwenye albumu yake ya mwaka 2008 ya ‘Theatre of the Mind’.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet