pmbet

Namrudisha 20 percent kwenye muziki - Man Water

Eric Buyanza

December 14, 2023
Share :

Producer mkongwe nchini kutoka studio za Combination Sound 'Kombinenga', Man Water anasema yuko mbioni kumrudisha kwenye soko la muziki msanii 20 Percent, aliyewahi kufanya nae kazi na wakapata mafanikio makubwa kimuziki.
 

Itakumbukwa kipindi Man Water akifanya kazi na 20 Percent nyimbo za msanii huyo zilimuwezesha kunyakua tuzo tano.
 

Kipindi chake 20 Percent alifanya vizuri sana kwenye ngoma kama Money Money, Mama Neema, Mali za Urithi, Subira na Inachoma. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet