Nandy ampiga Harmonize na kitu kizito
Joyce Shedrack
March 18, 2024
Share :
Baada ya msanii Harmonize kuachia video ya ngoma yake mpya na kufanya vizuri kwenye mtandao wa YouTube , msanii mwenzake Nandy amepindua meza baada ya kuachia video ya wimbo “Dah remix” aliyomshirikisha Alikiba na kupata watazamaji wengi (views) kuzidi ile ya Harmonize.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.