pmbet

Nandy na Harmonize waitwa BASATA.

Joyce Shedrack

September 22, 2026
Share :

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka wasanii Nandy, Harmonize pamoja na Director Kenny kufika katika ofisi za baraza hilo leo, Septemba 22, 2026.

Kupitia taarifa iliyotolewa na BASATA, wasanii hao pamoja na baadhi ya wadau wengine wa sanaa wametakiwa kufika ofisini kwa baraza hilo. Hata hivyo, BASATA bado haijaweka wazi sababu rasmi ya kuwaita wasanii hao.

Hatua hiyo imezua maswali kwa mashabiki na wadau wa burudani, huku wengi wakisubiri kufahamu kinachoendelea kati ya BASATA na wasanii hao watatu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet