pmbet

Nani anastahili kuwa kocha bora wa mwaka wa Ballon d’or 2026!

Eric Buyanza

September 8, 2026
Share :

Jarida mashuhuri la France Football limetangaza rasmi orodha ya makocha watano wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa Wanaume (Men's Coach of the Year) kwa msimu wa 2025/26. Orodha hiyo imetawaliwa kwa kiasi kikubwa na makocha kutoka nchini Uhispania, huku kukiwa na mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa.


Luis Enrique
Luis de la Fuente
Mikel Arteta
Unai Emery
Vincent Kompany

 

Kwa maoni yako, nani anastahili kushinda?
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet