pmbet

Nani kuivunja rekodi ya Robert Lewandowski ya magoli 5 ndani ya dakika 9.

Joyce Shedrack

April 22, 2026
Share :

Rekodi ya mfungaji aliyefunga mabao mengi zaidi ndani ya muda mfupi inashikiliwa na Robert Lewandowski. Mnamo Septemba 22, 2015, alifanya maajabu kwa kufunga mabao 5 ndani ya dakika 9 tu akichezea Bayern Munich dhidi ya Wolfsburg.
Robert Lewandowski joins Barcelona in Miami after sealing £42.5m move from  Bayern Munich | Transfer Centre News | Sky Sports
Huu hapa ni mchanganuo wa mabao yake hayo ya kihistoria:
Dakika ya 51: Bao la 1
Dakika ya 52: Bao la 2
Dakika ya 55: Bao la 3 (Hat-trick ya haraka zaidi Bundesliga)
Dakika ya 57: Bao la 4
Dakika ya 60: Bao la 5

Unafikiri ni mchezaji gani ataivunja rekodi hii na atatoka ligi gani ?.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet