Napoli wamtupa Nunez wachagua kumsajili Lorenzo Lucca
Eric Buyanza
July 16, 2025
Share :
Klabu ya Napoli imechagua kumsajili Lorenzo Lucca badala ya Darwin Nunez kwa mujibu wa Sky Sports Italia.
Wamekubaliana na Udinese kumsajili mshambuliaji huyo chipukizi kwa mkopo.
Lucca anatazamwa kama chaguo muhimu kwenda kusaidiana na Romelu Lukaku katika safu ya washambuliaji ya Napoli.
#TetesiZaSoka