Narudi shule - Baraka
Sisti Herman
December 27, 2023
Share :
Msanii wa mziki wa kizazi kipya Baraka Da Prince amethibitisha kupitia mtandao wake wa instagram kwenye insta story kuwa atarudi masomoni siku za usoni.
“Umefika muda wa kurudi darasani kuendelea na masomo yangu mwakani kwa uwezo wa Mungu lakini sitaacha kufanya mziki” aliandika Baraka kupitia insta story yake.