Nchi 10 Afrika zinazoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya makabila
Sisti Herman
June 20, 2024
Share :
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na taasisi ya Ujerumani ya ukusanyaji wa takwimu iitwayo Statista, hizi ni nchi 10 Afrika zenye makabila au lugha nyingi zaidi kuliko nchi zingine;
1. Nigeria - lugha 517
2. Cameroon - lugha 274
3. Congo DR - lugha 214
4.Chad - lugha 129
5. Tanzania - lugha 128
6. Ethiopia - Lugha 92
7. Ivory Coast - Lugha 88
8. Ghana - Lugha 83
9. Sudan - Lugha 75
10. Sudan kusini - Lugha 73