pmbet

Nchi za Afrika za Afrika zenye mifumo imara fedha za Kigeni

Sisti Herman

February 17, 2026
Share :

 

Nchi za Afrika zinaendelea kujiandaa kukabiliana na mazingira magumu ya kifedha duniani yanayotarajiwa mwaka 2026, huku upatikanaji wa fedha za kigeni (FX) ukitajwa kuwa muhimu kwa ustawi wa uchumi

Wataalamu wanasema mifumo imara ya FX husaidia kukuza uwekezaji, biashara na uthabiti wa kifedha. Hata hivyo, bado kuna tofauti kubwa kati ya nchi za Afrika, ambapo baadhi zinakabiliwa na kuyumba kwa sarafu na masoko dhaifu ya fedha za kigeni

Kwa sasa, jitihada za kuongeza uwazi na kuzingatia viwango vya kimataifa, ikiwemo kujiunga na FX Global Code, zinaendelea kuimarisha mifumo ya fedha barani Afrika.

Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye mifumo imara ya fedha za Kigeni;

1. South Afrika 
2. Madagascar
3. Mauritius
4. Nigeria
5. Uganda
6. Egypt
7. Kenya
8. Cape Verde
9. Botswana
10. Tanzania

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet