pmbet

Nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu Afrika

Sisti Herman

July 30, 2026
Share :

 

Afrika inaendelea kuwa bara linalokua kwa kasi zaidi duniani, huku idadi ya watu wake ikitarajiwa kuzidi bilioni 2.5 ifikapo mwaka wa 2050.

Muundo wa idadi ya watu unaojumuisha vijana wengi, viwango vya juu vya uzazi, na huduma bora za afya vinaendelea kuchochea ongezeko la watu, jambo linalobadilisha sura ya masoko ya walaji, nguvu kazi, na fursa za uwekezaji.

Sogeza picha kushoto kuona nchi 10 zenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika mwaka wa 2026.

Chanzo; Worldometer

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet