pmbet

Ndiyo ni kweli, usafiri wa umma nchini Luxembourg ni bure kabisa

Eric Buyanza

June 11, 2024
Share :

Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020, njia zote za usafiri wa umma nchini Luxemburg, kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. 

Ilianza rasmi tarehe 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, kwa maneno mengine hauhitaji kununua tiketi kwa ajili ya usafiri wa ndani. 

Ikiwa na eneo la kilomita za mraba 2,586, Luxembourg ni nchi ya saba kwa udogo barani Ulaya ikiwa na idadi ya watu 672,050.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet