pmbet

Ndoa ya Igor Tudor na Spurs yavunjika rasmi.

Joyce Shedrack

March 30, 2026
Share :

Klabu ya Tottenham Hotspur imethibitisha rasmi kuachana na Kocha Mkuu, Igor Tudor, kwa makubaliano ya pande zote, huku uamuzi huo ukitekelezwa mara moja.
Igor Tudor on Tottenham's 'Spursy' tag - and whether he wants the job  permanently

Safari ya kocha Tudor ndani ya Tottenham imekamilika baada ya kipindi kifupi sana, ambapo alienda klabuni hapo ili kuziba pengo la Thomas Frank, aliyekuwa ameacha kazi, huku Spurs wakiwa kwenye hali mbaya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya hivi karibuni.
 

Sambamba na hilo, Tottenham pia wametangaza kuachana na Kocha wa Makipa, Tomislav Rogic, pamoja na Kocha wa Viungo, Riccardo Ragnacci, waliokuwa sehemu ya timu ya makocha wa Tudor.
 

Hii inaweza kuwa mara ya kwanza kwa Spurs kushuka daraja tangu mwaka 1977 ikiwa hali haitabadilika katika mechi saba zilizosalia.
Safari ya msimu unaoendelea inaanza rasmi April 12, 2026, dhidi ya Sunderland.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet