pmbet

Ndoa ya Liverpool na Arne Slot imevunjika rasmi.

Joyce Shedrack

May 30, 2026
Share :

Klabu ya Liverpool imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wao Mkuu Arne Slot kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Arne Slot Profile

Slot ameiongoza Liverpool kutwaa ubingwa wa 20 wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu uliopita na kufanikisha timu kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa misimu miwili mfululizo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet