pmbet

Ndoto ya treni ya SGR Dar-Dodoma imetimia, Ratiba yatoka

Eric Buyanza

July 18, 2024
Share :

Wakati huduma za awali usafiri wa treni za abiria katika Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Dar es Salaam-Morogoro-Dodoma zikipangwa kuanza Julai 25, 2024, ratiba ya safari hiyo imetangazwa rasmi.

Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamillah Mbarouk, imesema ratiba ya treni ya haraka (express) itatoka Dar es Salaam saa 12:00 asubuhi na itatoka Dodoma saa 11;30 asubuhi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet