pmbet

NECTA Yatangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2025.

Joyce Shedrack

July 7, 2025
Share :

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya watahiniwa wenye matokeo.

ST Bongo - East African Lifestyle and Entertainment TV Station
Dr. Said amesema “Watahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya
Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024”
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet