pmbet

Neema Sanka: Mwanariadha wa Tanzania aliyeweka rekodi misimu mitatu Kili Marathon

Sisti Herman

June 7, 2025
Share :

 

Wakati Mbio maarufu zaidi za Kilimanjaro Marathon zikifikisha miaka 23 tangu kuanzishwa, mwanariadha wa kike mbio ndefu Neema Sanka amekuwa Mtanzania pekee anayeshikilia rekodi ya kumaliza kwenye 'top 3' kwa miaka mitatu mfululizo hadi sasa.

 

Kwenye mbio hizo za kilomita 42 ambazo zimetawaliwa na washindi kutoka nchi tofauti, Neema ameweka rekodi hiyo ya miaka mitatu kama ifuatavyo;

 

- 2023 alimaliza nafasi ya pili, akikimbia kwa saa 3:20:05

- 2024 alimaliza nafasi ya pili, akikimbia kwa saa 2:51:47

- 2025 alimaliza nafasi ya tati, akikimbia kwa saa 3:00:49

 

Kwenye mbio hizo maarufu zaidi nchini Mwanariadha huyo chipukizi rekodi yake ya kukimbia umbali wa kilomita 42 kwa muda mfupi zaidi ni ile ya saa 2:51:47 mwaka 2024.


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet