pmbet

Neo Maema arejea kwenye kikosi cha Simba kwa mkopo.

Joyce Shedrack

August 7, 2026
Share :

Kiungo Neo Maema raia wa Afrika Kusini amerejea rasmi ndani ya kikosi cha Simba kwa mkopo mwingine wa mwaka mmoja.

Kiungo Alassane Kante anaondoka Simba Kati ya Maema na Kante Simba imechagua kuendelea na Neo Maema kwa pendekezo la kocha mkuu Steven Barker.
Bafana Midfielder Neo Maema Breaks Silence on Picking Simba Over Kaizer  Chiefs | Pulse Sports Kenya
Neo Maema amerejea mazoezini leo wakati Alassane Kante yupo Dar Es Salaam ila hayupo pamoja na Kikosi cha Simba SC.

Wachezaji 12 wa Kimataifa Simba.
1. Tandja Kassali
2. Rushine De Reuck
3. Ismael Toure
4. Clatous Chama
5. Elie Mpanzu
6. Ibrahim Doumbia
7. Anicet Oura
8. Libasse Gueye
9. Ibraheem Jabaar
10. Keletso Makgalwa
11. Inno Loemba
12. Neo Maema
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet