Newcastle inavizia saini ya mlinda mlango wa Arsenal
Eric Buyanza
May 18, 2024
Share :
Newcastle United wanataka kumsajili mlinda mlango wa Arsenal na England Aaron Ramsdale na wako tayari kulipa pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza kwasasa amekuwa chaguo namba mbili la klabu hiyo huku David Raya akipewa nafasi ya kuanza.