pmbet

Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

Sisti Herman

March 17, 2026
Share :

 

Baada ya Neymar Jr kuachwa nje ya kikosi cha Brazil kwa ajili ya mechi zijazo za kimataifa, na kocha wa timu hiyo Carlo Ancelotti kueleza sababu za uamuzi huo, Nyota huyo ametoa ujumbe mpya kupitia ukurasa wake wa mitabdao ya kijamii.

"Neymar hatakiwi kuitwa kwa sababu hayuko sawa kwa asilimia 100. Bado anaweza kuitwa kwa ajili ya Kombe la Dunia. Anahitaji kuendelea kucheza michezo ili kudumisha hali nzuri ya kimwili." alisema Kocha wake.

Kupitia Instagram yake nyota huyo alichapisha picha na kuandika maneno "Yohana 13:7" usemao "Yesu akajibu, akamwambia, nifanyalo hujui sasa, lakini uralufahamu baadae"

Wakati huo huo, Endrick ameitwa kwenye timu ya taifa ya Brazil, kuashiria kurejea kwake kwenye kikosi cha Seleção.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet