Neymar Jr awapongeza Estevao ma Roders kuichapa Man United
Sisti Herman
November 1, 2026
Share :

Neymar ame share kwenye 'Instagram story' yake picha za Morgan Rogers na Estêvão wakifanya staili yake ya kushangilia, akiwaita “Fenomenos” (maajabu/magwiji) baada ya Chelsea kuifunga 2-0 Manchester United kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza.
Nyota hao wawili wa Chelsea wameonyesha kiwango kizuri sana huku Roders akifunga goli moja la Chelsea huku la Estevao likikataliwa kwenye mchezo huo uliochezwa jana.





