pmbet

N'Golo Kanté aoa Mwanamke wa miaka 51 mwenye watoto watatu

Sisti Herman

March 20, 2026
Share :

 

Mshindi wa Kombe la Dunia na tiu ya taifa ya Ufaransa, N'Golo Kanté (34) ameripotiwa kufunga ndoa na Jude Littler (51) katika sherehe ya faragha nchini Ufaransa na Mali. 

Jude Littler ana watoto watatu kutoka kwa ndoa yake ya awali ya miaka minane na mshambuliaji wa zamani wa Ufaransa Djibril Cissé.

Wawili hao waliripotiwa kukutana katika klabu ya usiku huko Paris miaka michache baada ya talaka ya Jude kutoka kwa Cissé. 

Mwanamke huyo wa Uingereza ni Mfanyabiashara na mfanyakazi wa zamani wa nywele, aliolewa na Djibril Cissé kutoka 2005 hadi 2012 (alitalaka rasmi mnamo 2014)

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet