Ni hofu, Rais wa Barcelona asema Mbappe kwenda Madrid 'Sio habari njema'
Eric Buyanza
June 5, 2024
Share :
Rais wa Barcelona Joan Laporta, ameonyesha hofu huku akitoa ya moyoni kwamba Kylian Mbappe kuhamia kwa wapinzani wao Real Madrid "Si habari njema."
Akizungumza na Mundo Deportivo, Laporta amesema..."Kama shabiki wa Barca, sio habari njema kumuona Mbappé akicheza Real Madrid.
Mbappe atavaa jezi nambari 9 Bernabeu baada ya kuafiki mkataba wa miaka mitano.