Ni kweli naondoka JKT Tanzania, naenda kufanya mambo mengine
Eric Buyanza
June 11, 2025
Share :
Ni kweli naondoka JKT Tanzania na Mkataba wangu unaenda kumalizika tarehe moja. Naenda kufanya mambo mengine, lakini siwezi kuyasema ni mambo gani maana ni mambo yangu binafsi.
Amesema Jemedari Said kupitia CrownFM