pmbet

Ni mtu asiye serious ndo anaweza asiuone umaalumu wa Master Fadlu

Eric Buyanza

May 27, 2025
Share :

Nimezirudia tena zile Dakika 50 Kabla ya Kadi nyekundu Kwa Yusuph Kagoma..✍️

 

Kuna wakati unahisi Simba Sports wapo 12,mpira unatembea kwa Kasi ya Ajabu mnoo.Kuna Muda Oxygen ilimalizika Kabisa Pale Amaan Complex.

 

Kuwafanya hivi RS BERKANE ,team ambayo imeshinda Ubingwa wa Morocco Mbele ya Wydad na Raja huku ikiwa na Mechi 5 Mkononi.

Kuwafanya hivi RS Berkane ambao ndani ya Misimu 7 wamecheza Fainali 5 za Caf Confederation Cup na Kushinda mara 2

Kuwafanya hivi RS Berkane team yenye umri wa Msimu 4 Pamoja dhidi ya Simba Sports mpya yenye wachezaji 17 wapya

Ni mtu ambae hayupo Serious tu ndo anaweza asione Umaalumu wa Master Tactician FADLU DAVIDS

Tunaongelea Simba Sports Kupoteza Mechi ya Fainali,Lakini Kama huhisi hii team ikiendelea kuwa imara chini ya Fadlu ipo njiani Kupata Kitu Maalum achana na Mpira wa Miguu sio sehemu yako.

 

Mitaa Barani Africa haiwezi Kusahau hizi Mechi 14 za mnyama Msimu huu

Kuanzia Dar es Salaam,Tripoli,Belas,Tunis,Constantine,Suez,Durban na Berkane umechezwa mpira wa bei ghali mnoo.

Ni hatua Kubwa zimepigwa na hii team we only get better.

President.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet