pmbet

Ni rahisi kumfunga Diarra - Karihe

Sisti Herman

December 17, 2023
Share :

Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Seif Karihe amesema mlinda lango wa Yanga SC, Djigui Diara ana madhaifu ya kujiamini kupita kiasi na amemfuatilia kwa mara kadhaa ndio maana amemfunga bao katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Yanga.

 

Karihe amesema “Diara kuna wakati anacheza kama beki wa kati wa mwisho na anatoka kwenye goli japo si wengi wameligindua hilo, niliojua hilo na nilivyoingia nikalifanyia kazi”.

 

Katika mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet