pmbet

Ni rasmi ndoa ya Man City na Pep Guardiola imefikia ukomo.

Joyce Shedrack

May 22, 2026
Share :

Kocha Mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amethibitisha rasmi kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu wa 2025/26 baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka 10.
Pep Guardiola to take coaching break when time at Manchester City ends -  BBC Sport

Kocha huyo raia wa Hispania ataiongoza Man City kwa mara ya mwisho katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu dhidi ya Aston Villa.

Tangu ajiunge na City mwaka 2016, Guardiola ameandika historia kubwa kwa kuiongoza klabu hiyo kutwaa mataji 20 makubwa, yakiwemo mataji sita ya ligi pamoja na Ligi ya Mbaingwa Ulaya mwaka 2023.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet