pmbet

Ni rasmi Rulani Mokwena aungana na Aziz Ki Al Ittihad ya Libya.

Joyce Shedrack

March 25, 2026
Share :

Klabu ya Al Ittihad ya Libya imetangaza rasmi Rulani Mokwena raia wa Afrika Kusini kuwa kocha wao mkuu akitokea klabu ya MC Alger ya Algeria.

Ikumbukwe,Al Ittihad ndiyo klabu anayoichezea nyota wa zamani wa Yanga Stephane Aziz Ki aliyejiunga nao akitokea Wydad AC.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet